Nkupamah media:
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akisalimiana na wafanyabiashara wa soko la Pasua alipofanya ziara ya kutembelea masoko yaliyopo katika mji wa Moshi kusikiliza kero za wafanyabiashara hao.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Majengo kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.
EmoticonEmoticon